Hali ya hatari imekuwa ikitumika nchini Misri kwa miongo mitatu. Iliyapa majeshi madaraka ya kupindukia kwa kuwakamata washukiwa.